Muungano wa haki ya kupata habari nchini Tanzania umetoa taarifa kuhusu Ukandamizwaji wa vyombo vya habari

Your browser doesn’t support HTML5

Muungano wa haki ya kupata habari nchini Tanzania umetoa taarifa kuhusu Ukandamizwaji wa vyombo vya habari na usalama wa waandishi wa habari ambapo umeeleza kuwa hali si nzuri na kutaka serikali na wadau wengine kutazama hali hyo kwani inakwenda kinyume na katiba