Mashambulizi ya Saudi Arabia nchini Yemen yakiuka haki za binadam
Your browser doesn’t support HTML5
Wataalamu wa haki za binadam wa umoja wa mataifa wanasema kwamba mashambulizi ya ndege yanayofanywa na ushirika unaongozwa na Saudi Arabia katika vita vya Yemen, yanaweza kufika kiwango cha uhalifu wa vita.