Umoja wa mataifa wataka Makamanda jeshi wa Myanmar wachunguzwe

Your browser doesn’t support HTML5

Wachunguzi wa umoja wa mataifa wanapendekeza kwamba maafisa wa juu wa jeshi la Myanmar na baada ya makamanda wao wachunguzwe na kufunguliwa mashtaka kwa mauwaji ya halaiki ya waislam wa Ki-rohingya.