Uhuru Kenyatta asema Afrika hahitaji misaada
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kwamba Afrika haihitaji misaada badala yake inahitaji ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara na mataifa ya magharibi.
Your browser doesn’t support HTML5