Usafiri wa ndege za moja kwa moja kunufaisha mataifa ya Marekani na Kenya.

Your browser doesn’t support HTML5

Balozi wa Kenya nchini Marekani, Robinson Githae amesema kuwa ndege ya Kenya airways, kutoka Nairobi hadi Marekani itanufaisha mataifa hayo mawili.