Uhuru Kenyatta kukutana eelezea mapambano yake dhidi ya ufisadi

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, azungumzia mapambano ya ufisadi nchini humu, pamoja na uhusiano wa nchi za Afrika Mashariki alipozungumza na VOA, nchini Marekani ambako anatarajiwa kukutana na rais Donald Trump.