Duniani Leo August 27, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta azungumza na VOA kuhusu vita ya ufisadi nchini humu, pamoja na ushirikiano wa nchi za Afrika Mashariki. Mipango ya mazishi ya mwanasiasa mashuhuri, shujaa wa vita na mzalendo wa Marekani, Seneta John Maccain imetangazwa .