Wasanii wa Kenya wamefanya tamasha maalum kuonyesha umoja na upendo kwa Bobi Wine

Your browser doesn’t support HTML5

Hatua ya kuzuiliwa kwa kwa mbunge Robert kyangulanyi ambaye pia ni msanii maarufu nchini Uganda, akitumia jina Bobi Wine, ilimewagadhabisha watu wengi wakiwemo wakenya hasa wasanii waliotaja hatua ya serikali ya Uganda kama ukiukaji wa haki za kibinadam.