Karibu watu 80 wameuwawa kaskazini mwa Msumbiji

Your browser doesn’t support HTML5

Karibu watu 80 wameuwawa kaskazini mwa Msumbiji katika jimbo la Cabo Delgado tangu mwezi oktoba kufuatia mashambulizi yanayofanywa na watu wasojulikana.