Habari mbalimbali kwa ufupi
Your browser doesn’t support HTML5
Wazari ya mambo ya nje wa China imeeleza kwamba Bejing inamatumaini kufikia makubaliano mazuri ya biashjara na marekani baada ya mataifa hayo makuu ya kiuchumi kuanza kutekeleza ushuru mpya wa ulipizaji kisasi hii leo.