Duniani Leo August 23, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Ndani ya Duniani Leo: Nchini Kenya wanaharakati na mawakili wameshiriki maandamano kumwaachilia Bobi Wine na Wasanii wa Kenya wamefanya tamasha maalum kuonyesha umoja na upendo kwa Bobi Wine