Mataifa ya jumuiya ya Afrika mashariki yametakiwa kusitisha ukiukaji wa haki za kibinadamu

Your browser doesn’t support HTML5

Mataifa ya jumuiya ya Afrika mashariki yametakiwa kuingilia kati ili kusitisha ukiukaji wa haki za kibinadamu unaoripotiwa kuendelea kushuhudiwa nchini uganda tangu kukamatwa kwa wabunge, akiwemo Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine.