Donald Trump amewashitua wengi alipoacha kuzungumzia masaibu yanayomwandama aliyekuwa meneja wake wa kampeni katika uchaguzi wa mwaka 2016

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa marekani Donald Trump amewashitua wengi alipoacha kuzungumzia masaibu yanayomwandama aliyekuwa meneja wake wa kampeni katika uchaguzi wa mwaka 2016, Paul Manafort, baada ya kukutwa na hatia ya mashtaka manane kati ya 18, yakiwemo udanganyifu wa kukwepa kodi