Wanawake hufanya mikutano kujadili kuweka akiba na mikopo

Your browser doesn’t support HTML5

Wanawake katika eneo la Bungoma, magharibi mwa Kenya hufanya mikutano kila mwezi ili kujadili kuweka akiba na mikopo kwa ajili ya wanachama wao.