Zaidi ya watu 100 walikamatwa katika maandamano jijini Kampala

Your browser doesn’t support HTML5

Zaidi ya watu 100 walikamatwa katika maandamano ya jana jijini Kampala yaliyozuka kupinga kukamatwa kwa mbunge wa upinzani Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine pamoja na wabunge wengine kadhaa wa upinzani nchini Uganda.