Zaidi waislamu milioni mbili kutoka kote duniani wameshiriki katika ibada ya hijja

Your browser doesn’t support HTML5

Zaidi waislamu milioni mbili kutoka kote duniani wameshiriki katika ibada ya hijja nchini Saudi arabia. Mahujaji jana walikusanyika katika mlima Arafat huku wakisema hakuna mwenyenzi mungu isipokuwa allah na allahu akbar yaani mungu ni mkubwa walipokuwa wakipanda mlima huo