Serekali ya Senegal kujenga mji mwingine mkubwa ili kupunguza msongamano mjini Dakar

Your browser doesn’t support HTML5

Mji mkuu wa Senegal, Dakar umekua na msongamano mkubwa wa watu, jambo ambalo limeipelekea serekali kujenga mji mwingine mkubwa ili kupunguza msongamano huo