Duniani Leo August 17, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Ndani ya Duniani Leo: Mashabiki kote duniani wa Malkia wa Soul, Aretha Franklin, wanaendelea kuomboleza kifo cha gwiji huyo na Mashirika ya habari Marekani yameungana pamoja kuchapisha tahriri ya kuunga mkono uhuru wa vyombo vya habari