Mkimbizi aweka historia Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Ilhan Omar, akiwa ni mkimbizi kutoka Somalia, ameweka historia katika siasa za Marekani kwa kuwa mkimbizi mwanamke wa kwanza na MuIslam wa pili kuchaguliwa kuingia Bunge la Marekani.