Mazishi ya watoto 29 ilifanyika baada shambulizi la basi nchini Yemen

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya waombolezaji nchini Yemen, wameelezea kukasirishwa na utawala wa Washington na Riyadh, wakati wa mazishi ya watoto waliouawa katika shambulizi lililofanywa na muungano wa wanajeshi wa Saudi Arabia kutoka angani.