Wachambuzi wanasema huenda mkataba wa Amani wa Sudan kusini ukadumu kwa mda mrefu.

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki moja baada ya viongozi wa sudan kusini kusaini mkataba upya wa kusitisha vita nchini mwao, wachambuzi wa siasa na usalama wanasema kwamba huenda mkataba huo ukadumu kwa mda mrefu kinyume na hofu ya wengi.