Shughuli za kuhesabu kura bado zinaendela nchini Mali.

Your browser doesn’t support HTML5

Shughuli za kuhesabu kura katika raundi ya pili ya uchaguzi wa raisi nchini Mali zinaendelea patika vituo 23,000 vya kupigia kura.