Zulia Jekundu Episode 187

Your browser doesn’t support HTML5

Zulia Jekundu wiki hii limeangazia habari za burudani mbalimbali kutoka pande zote za dunia. Rihanna na Madona wapamba jarida la Vogue la Italia na Uingereza. Serena William eelezea maisha baada ya Kuwa mama, na Jumba la makumbusho ya sanaaa Marekani linaonyesha utamaduni wa Afrika Mashariki.