Serena William aeleza matatizo baada ya uzazi.

Your browser doesn’t support HTML5

Mcheza tenis maarufu duniani amesema kuwa anafikiria hakumtendea haki mtoto wake wa kike baada ya kujifungua, licha ya kutumia muda mwingi kwa kuwa na bint yake.