Madona na Rihanna wapamba jarida la Vogue
Your browser doesn’t support HTML5
Wanamuziki Madona ,a Rihanna wapamba jarida la Vogue. Madona alikuwa katika jarida la Italia wakati Rihanna anapamba kurasa ya kwanza ya Jarila la Vogue toleo la septemba la Uingereza.