Washington Bureau

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii katika Washington Bureau Marekani inafatilia hali ya wasiwasi baada China kuweka vikwazo vya ushuru. Katika habari nyingine Msanii, Kelly Towels, alifanya biashara yenye faida kubwa jijini Washington D.C.