Nchini Tanzania, uhaba wa vituo vya kutengeneza viungo bandia vya binadamu na gharama zake.

Your browser doesn’t support HTML5

Nchini Tanzania, licha ya uwepo wa vituo vichache vya kutengeneza viungo bandia vya kumsaidia mtu asiye na baadhi ya viungo kama miguu na mikono bado gharama kubwa za upatikanaji wake umekua changamoto kwa wahitaji wengi huku serikali ikitakiwa kujumuisha huduma hizi katika bima za afya