Rais wa Iran Hassan Rouhani kusema kwamba jamhuri ya kiislamu ya Iran, ipo tayari kwa mazungumzo na Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Iran Hassan Rouhani ametoa changamoto kwa rais wa Marekani Donald Trump kwa kusema kwamba jamhuri ya kiislamu ya Iran, ipo tayari kwa mazungumzo sasa hivi.