Maafisa katika jimbo la Carlifornia wanasema kwamba moto ulioanza kuteketeza misitu umekuwa mkubwa sana katika historia

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa katika jimbo la Carlifornia, magharibi mwa marekani, wanasema kwamba moto ulioanza kuteketeza misitu wiki moja iliyopita, umekuwa mkubwa sana katika historia ya jimbo hilo.