Marekani yakana tuhuma za kuhusika katika mashambulizi la Rais wa Venezuela .

Your browser doesn’t support HTML5

Mshauri wa Usalama wa taifa wa rais Donald Trump, amekana tuhuma ya kwamba Marekani ilihusika katika shambulizi lililo tekelezwa na ndege yenye vilipuzi isiyoruka na rubani, katika mji mkuu wa Venezuela wa Carcas, wakati Rais Nicholas Maduru alipokuwa ikihutubia taifa.