Sudani ya Kusini, imesaini mkataba wa amani katika mji mkuu wa Sudan Khartoum.

Your browser doesn’t support HTML5

Pande zinazopingana nchini Sudan Kusini zimesaini mkataba wa amani katika mji mkuu wa Sudan khartoum, ikiwa ni juhudi za kumaliza vita vya miaka mitano vimesababisha vifo vya maelefu, na mamilioni kuwa wakimbizi.