Watu 40 wapigwa risasi na 5 wafa katika mji wa Chicago.

Your browser doesn’t support HTML5

Wamarekani waendelea kuomboleza vifo vya watu watano waliouwawa baada ya 40 kupigwa risasi huko Chicago mwishoni mwa wiki.