Muungano wa madaktari wa mifugo nchini Kenya wametaka waziri wa utalii Najib Balala kujiuzulu

Your browser doesn’t support HTML5

Muungano wa madaktari wa mifugo nchini Kenya wametaka waziri wa utalii Najib Balala kujiuzulu kutokana na vifo vya vifaru kumi baada ya kuhamishiwa hadi mbuga ya Tsavo, pwani ya kenya