Gabriel Jesus ametia saini kuongeza muda wa mkataba wake wa Manchester United

Your browser doesn’t support HTML5

Mshambuliaji wa Manchester City na timu ya taifa ya Brazil, Gabriel Jesus ametia saini kuongeza muda wa mkataba wake kwa miaka miwili