Duniani Leo August 2, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Raia wa Zimbabwe waendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi uliofanyika jumatatu. Wataalamu afya nchini Congo wanatarajiwa kuwasili kaskazini mwa nchi hiyo kusimamia mikakati ya kupambambana na mlipuko mpya wa virusi vya Ebola, na wanawake wa Afrika Kusini wapinga ghasia za kijinsia nchini humo.