Lishe duni inasababisha kudumaza watoto.

Your browser doesn’t support HTML5

Mashirika ya umoja wa mataifa ya chakula WFP na la kuhudumia watoto UNICEF kwa kushirikiana na serikali ya Tanzania, yanatazama namna ya kuondoa tatizo la kudumaa kwa watoto linalosababishwa na lishe.