Polisi wa kupambana na ghasia wapelekwa makao makuu ya MDC.

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi wa kupambana na ghasia wamepelekwa makao makuu ya chama cha upinzani cha MDC nchini Zimbabwe, ambako wafuasi wa chama hicho wanakilaumu chama tawala cha ZANU PF kwa kujaribu kuiba kura dhidi ya mgombea wao Nelson Chamisa.