Korea Kusini na Kaskazini zakutana kwa mazungumzo.
Your browser doesn’t support HTML5
Korea Kusini na Kaskazini zakutana kufanya mazungumzo. Wakati hou hou Marekani inaonyesha wasiwasi wa Korea Kaskazini kuendeleza mpango wa kutengeneza silaha za nyuklia.