Uchaguzi wa mkuu wa DRC kufanyika Disemba mwaka huu.

Your browser doesn’t support HTML5

Makamu wa tume huru ya uchaguzi nchini DRC Katitima Bashengezi emethibitisha uchanguzi wa nchi hiyo kufanyika mwisho wa mwaka huu kama ilivyokuwa imepangwa awali.