Zulia Jekundu Episode 183

Your browser doesn’t support HTML5

Ungana na Mkamiti Kibayasi katika zulia jekundu wiki hii July 27, 2018 ambapo anakuletea habari mbali mbali kuhusu mambo ya burudani yaliyoendelea wiki hii nchini Marekani na duniani kwa ujumla.