Habari za Michezo kutoka Duniani Leo.
Your browser doesn’t support HTML5
Washabiki wa Arsenal fans wa nchini Singapore wamesema wanamuunga mkono mchezaji wao, Mesut Ozil kuamua kuacha kuchezea timu yake ya taifa na kocha wa zamani wa Alex Ferguson ameonekana kwa mara ya kwanza toka alipofanyiawa upasuaji.