Waziri mkuu wa Ethiopia awataka raia wa nchi hiyo walio ughaibuni kurejea Ethiopia

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed awataka raia wa nchi hiyo waishio ughaibuni kurejea nchini Ethiopia, ili kushiriki vikamilifu katika mabadiliko ya kudumu na maendeleo ya nchi hiyo.