Watafiti Austria wazindua mfumo wa roboti

Your browser doesn’t support HTML5

Watafiti kutoka vyuo vikuu nchini Austria, wamezindua mfumo wa roboti unaotumia teknolojia ya kisasa ya kupima uwepo wa saratani.