Maelfu ya wakazi wa Kibera wapoteza makazi yao
Your browser doesn’t support HTML5
Wiki hii, maelfu ya wakaazi wa mtaa mkubwa Zaidi wa mabanda nchini Kenya wa Kibera, wamejikuta bila makaazi baada ya vibanda vyao kubmolewa kiholela, ili kupisha mradi wa serikali wa kujenga barabara katika eneo hilo