Wanawake wajane wanaoishi na virusi vya HIV wapata msukumo wa maisha

Your browser doesn’t support HTML5

Nchini kenya wanawake wajane wenye virusi vya HIV wamepata msukumo wa maisha baada ya mwanamke mmoja kujitolea kuwapa mafunzo mbambali ikiwemo ushonaji nguo na hata ukulima ili kujisimamia maishani.