Mzozo kati ya Marekani na Iran waendelea kwenye mitandao ya kijamii

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi na raia kutoka sehemu mbalimbali za dunia wanaendelea kutoa maoni yao kuhusu mgogoro mpya kati ya Marekani na Iran.