Leo katika ulimwengu wa michezo

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya kutoa kauli inayoendelea kutikisa ulimwengu wa soka, mwana-ndinga Mesut Ozil amewasili Singapore akiwa na klabu yake ya Arsenal leo Jumatatu kujiandaa na msimu mpya wa ligi ya Uingereza