Kauli ya rais Trump ya kumualika rais Putin yaleta utata

Your browser doesn’t support HTML5

Kauli ya rais wa Marekani Donald Trump kwamba atafanya mkutano wa pili na rais Vladmir Putin wa Russia yaibua hisia tofauti kwa baadhi ya viongozi na wananchi wa marekani. #voaswahili #dunianileo