Duniani Leo July 20th, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Kutoka VOA Swahili hivi leo Duniani Leo inaangazia suala la uchaguzi wa DRC na Rais Kabila, utata wa mkutano wa Rais Donald Trump na Rais Putin wa Russia na vile vile habari za michezo.