Waandamanaji walikusanyika kwa siku ya pili kupinga muelekeo wa Donald Trump

Your browser doesn’t support HTML5

Wabunge wa vyama vyote vya Republican na democratic hapa Marekani pamoja na wachambuzi wa mambo ya siasa wameendelea kuwa na hisia na maoni tofauti kufuatia mkutano wa rais Donald Trump na mwenzake wa Russia Vladmir Putin uliofanyika Helsinki